Prof. Alexander Nyangero Songorwa Mkurugenzi wa Wanyamapori.         Prof.Jafari Ramadhani Kideghesho, Mkurugenzi Msaidizi, Matumizi Endelevu ya Wanyamapori       Profesa  Alexander Nyangero Songorwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya  Wanyamapori (Wildlife Division ) kuziba nafasi iliyokuwa wazi. Kabla ya kuteuliwa Profesa Nyangoro alikuwa Profesa Mshiriki katika    Usimamizi wa Wanyamapori, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),  Morogoro. Pia ndiye aliyekuwa Mkuu wa Idara hiyo ya Usimamizi wa  Wanyamapori SUA.         Wakati huohuo, Profesa Jafari Ramadhani Kideghesho ameteuliwa    kuwa Mkurugenzi Msaidizi, kuiongoza Sehemu ya Matumizi Endelevu ya  Wanyamapori (Sustainable Utilisation of Wildlife Section). Kabla ya  uteuzi huo Profesa Ramadhani alikuwa Profesa Mshiriki katika Usimamizi  wa Wanyamapori katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Morogoro.      Uteuzi huo umetekelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii  Bibi Maimuna Tarishi k...
 
Comments
Post a Comment